Pata aina 13 za kuchekesha za wosia ambao wanawake watakupa kuhusu kumchumbia mpenzi wao wa zamani
- Ni gharama na vigumu kupata wosia kwa mtu aliyekuwa na mpenzio wa sasa
- Wengi watakushauri vizuri kumhusu, wengine wakikupotosha ili hata wewe umwache na azidi kuhangaika
Wengi husema mapenzi ni kikohozi, na bila shaka haya hudhihirika pale mpenzi wa aliyekuwa mpenzio akikujia kukuomba msaada wa mawaidha kuhusu uhusiano wao. Kwa wengi huwa ni mlima kuelezea haya.
Habari Nyingine: Unawajua magaidi hawa? Polisi wana zawadi yako ya KSh 16 milioni!
Licha ya kuwa waliachana kwa misingi tofauti, kila mtu uhofia yaliyowafanya waachane yampate katika uhusiano wake wa sasa.

Habari Nyingine: Lazima ‘nionje’ mpenzi wangu kabla ya ndoa-mwigizaji asema
TUKO.co.ke iliweza kuwauliza wanawake kuhusu ushauri wanaoweza kuwapa wanawake walio na wapenzi wao wa zamani, na haya ndiyo majibu yao;
1. Huwa ana msimamo au kuamua kuhusu lolote.
2. Usiwahi feki kwamba umefika upeo, maisha ni mafupi kuvumia ngono bovu
3. Kila saa hujihisi kuwa ananyang'anywa na mwingine
4. Ni mwongo wa mwisho duniani
5. Usiwe na matumaini makuu kwake, utaishia tu kuvunjika moyo.
6. Ni mwana wa mama, ana utoto
7. Mamake hatawahi kukutambua
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
8. Ni mgumu wa pesa
9. Jitolee kuharibu muda na miaka
10. Huwa hana heshima kwa wanawake, labda atakuheshimu.

Habari Nyinine: Thamani ya mke: Picha 16 za kutamanisha za Margaret Kenyatta huku akisherehekea kuzaliwa
11. Hatawahi komaa, ni toto kubwa tu
12. Nakutakia mema
13. Usitarajie akuandae kabla ya ngono, utakuwa ukiyasikia kwa marafiki au kwa runinga.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibH15fpFmp5qskWKuqrrAZmhsZaqWeqzBwqGcpJ2jna5uxsBmrqirmZZ6ornBmqZmr5Gjrrityp5ksJmklri2vMBmoq6gpajCbrfUppqhrZ2XtqJ5zKmcp7KZYsSiu4ywmGaykaKur7WNoaumpA%3D%3D